AMF Yatoa Taulo 3,000 za STARA kwa Wafungwa Wanawake Tanzania Bara na Visiwani
AMF Yatoa Taulo 3,000 za STARA kwa Wafungwa Wanawake Tanzania Bara na Visiwani Katika Maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia Asma Mwinyi Foundation (AMF) imeendelea kutekeleza jukumu lake la kuunga mkono heshima, afya na ustawi wa wanawake nchini kupitia kampeni ya kimataifa ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia. Katika kuadhimisha […]

